1. Ifuatayo ni mifano ya vitangulizi; (influenced by honoured ancestors from de Afreekan shores to de diaspora of righteousness, en sages)

              Following are examples of ways to begin a story (na lugha zetu kwanza).

(a)    Msimulizi:   Paukwa!         

Hadhira:       Pakawa!

         Msimulizi:   Kaondokea chenjagaa

                                      Kajenga nyumba kaka

                                      Mwanangu mwanasiti vijino kama chikichi

                                      Vya kujengea vikuta

                                      Na vilango vya kupitia

(b)   Msimulizi:   Paukwa!

Hadhira:       Pakawa!

Bi Kidude

 Msimulizi:   Sahani!

Hadhira:       Ya mchele

Msimulizi:   Giza!

Hadhira:       La mwizi!

Msimulizi:   Maziwa!

Hadhira:       Ya watoto wa nyayo!

(c)    Msimulizi:   Atokeani!

          Hadhira:       Naam twaib!

          Mtambaji:   Hapo zamani za kale alikuwako Mwambu na Sela    [na….]

                                     II. Hadithi ya Mti wa Maisha (Tree of Life)

 Wahusika (Characters/participants en co-creators – kama de story of De Fairy Mbweha)

Mhusika ni kiumbe wa kifasihi anayefanana au anayewakilisha binadamu. wahusika wa hadithi wanaweza kuwa binadamu, wanyama, miti, mimea, mawe au vifaa vilivyopewa sifa

za binadamu. mapaka kati ya ulimwengu wa kawaida wa binadamu na wanyama haupo hadithini.

Katika baadhi ya hadithi, wanyama wakubwa huweza kushindwa na wanyama wadogo. Hii huwa ni njia ya kuwakejeli na kuwadhihaki wenye uwezo na nguvu lakini wasiotumia akili zao. Viumbe wakubwa na wa kudhaniwa kama mazimwi na majitu husawiriwa kama viumbe

Jamii mbalimbali huwa na wahusika tofauti wanaowakilisha sifa maalumu kwa mfano:wanaoongozwa na tamaa kubwa, ulafi na uovu uliokithiri. Hii ni njia mojawapo ya kuakisi sifa zinazoonekana mbaya katika jamii.

Jamii Mhusika Sifa
Afrika Mashariki (de East) [Kaka]Sungura (Rabbit) Mwerevu, mjanja
Afrika Kati (Central) Mbweha (fox) Mwerevu, mjanja
Afrika Magharibi (de West) Buibui (spider/anansi) Mwerevu, mjanja
Jamii nyingi (pan-Afreekan massives) Simba (lion/ess) Shujaa
Fisi (hyena) Tamaa, ulafi
[Mzee] Kobe (tortoise/turtle/yemoya) Mwenda pole, mwenye busara
Kinyonga (chameleon) Kigeugeu, mwenda pole
Zimwi (hobgoblin/ogre) Uovu
Njiwa  (dove) Amani, wokovu
Maji (wota) Uhai
Ua (flower, also kill) Maisha, furaha, upendo
Punda (donkey) Fadhili ya punda ni mashuzi

Kunguru (crow/raven) Sacred Laws, magic

Nyoka (snake) Mwerevu, Maisha

[……]  III     

 Aina ya wahusika waliomo (Classes/Kinds of stories)

Mighani (Legends)

Ni hadithi zinazohusu mashujaa walioishi au wanaoaminiwa kuishi na wanaosifiwa sana katika jamii (aka. egun/sheps/ Honoured ancestors).

Aghalabu, mashujaa hawa waliongoza jamii katika vita fulani, ukombozi fulani au wakati fulani mugumu. Mashujaa hawa wa mighani huitwa majagina. Jagina hung’ang’a na hali ngumu unayosababishwa na maadui wanaoitwa majahili.

Ifuatayo ni mifano ya majagina kutoka jamii mbalimbali

Jagina Jamii Nchi
Luanda Magere Luo Kenya
Gor Mahia Luo Kenya
Fumo Liyongo Pate (Waswahili) Kenya
Koomenjue Meru Kenya
Wangu wa Makeri Kikuyu Kenya
Mekatilili wa Menza Giriama Kenya
Sakagwa Abagusii Kenya
Otenyo Abagusii Kenya
Ombati Abagusii Kenya
Mwambo Bukusu Kenya
Vere Sango Pokomo Kenya
Koitalel arap Samoei Nandi Kenya
Nabongo Osundwa Wanga (Luhya) Kenya
Nyamgodho Ombare Abasuba Kenya
Lenana Maasai Kenya
Chege wa Kibiru Kikuyu Kenya
Masaku Akamba Kenya
Mwenda Mwea Akamba Kenya
Kinjekatile Ngwae Wamatumbi Tanzania
Mgasha Wahaya Tanzania
Mkamandume Pemba
Shaka Zulu Afrika Kusini
Sundiata Keita Mandinka Mali
Mwindo Banyanga Kongo (DRC)

[Reposted from http://nakungah.blogspot.com/2011/06/hadithi-simulizi.html]

IV

De ‘mama’ of The big bang theory

There are many stories (we know bout de earth en how it floats in space….) we tell ourselves that don’t get shared as much as others, depending where you look at it from….

hadithi ya ancien tradishuns like Wives of de Lione/ss, remixed.

Hadithi? Hadithi? Ukweli njoo, Utamu kolea….

it is betta to die on our feet than to live on our knees

Hapo zamani za kale, karudi baba mmoja, toka safari ya mbali

kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili

Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali
wakataka na kauli, iwafae maishani.

Akatamka mgonjwa, ninaumwa kwelikweli
hata kama nikichanjwa,haitoki homa kali
roho naona yachinjwa,kifo kimenikabili
kama mnataka mali mtayapata shambani.

[….]alipokwisha kutaja
fumbo hili la akili
mauti nayo ikaja
roho ikaacha mwili
watoto wote pamoja
wakakumbuka kauli
kama mnataka mali mtaipata shambani.

[Read more: http://www.fotobaraza.me/forum/topics/kwa-wale-vijana-wenzangu-wa?commentId=2054561%3AComment%3A279878&xg_source=activity#ixzz1aEByi9g3

Na Fafanua…]

Paukwa! Pakawa! Nipe mji?

What unique contribution can we each make, what seeds might we plant together dis moon, that could make de most difference to de future of a Pan-Afreekan renaissance?

Advertisements