kuna hadithi najua kuhusu how the earth floats in space on the back of a turtle, au (or)

ilibadilika kuwa dunia hii tunayojua ilipoletwa kama loose earth in a snail shell, iliyochimbuka na kuku.

wapi mchanga iliguza maji, it became solid land na chikichi ilipandwa kuwa mikindani, na mnazi….

kila mara hii hadithi husemwa, inabadilika.

sometimes the change is in de details, of reclaiming pan-afreekan languages.

other times hiyo badilisho is in de order of events.

But in all the telling of the tellers, the world never leaves de kobe’s back, and de turtle never swims away.

hadithi njoo, ukweli njoo, utamu kolea…..