Dear (wa)kukhu na abakuka,

asante for your continued guidance and protection;

haki iwe ngao na mlinzi, natukae kwa undugu, amani na uhuru,

raha tupate na ustawi, not only sisi, lakini wengine.

nawashukuru wahenga najua kama Masinde wa Nameme okhwa Mwasame,

asante for your sacred leadership in the quest for peace, truth, justice,

and reclaiming the wealth of our people.

Visima vya kale havifunikwi,

Nashukuru the magic of your legacy  &  anniversary

inayoendelea ku-spread upendo, hope na positivity in abundance

ese